TAFUTA
KUHUSU SISI
Karibu Mwafika Asili - Blog ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Habari Maarufu
-
Kama kompyuta inachukua muda mrefu kuwa ni kutokana na sababu hizi zifuatazo: 1. Huenda imevamiwa na virusi ambavyo vinasababisha compyut...
Blog mbali mbali
HAKI MILIKI
© 2013 mwafikasil.blogsport.com
MAWASILIANO
mwafrikasili@gmail.com
Powered by Blogger.
Thursday, May 9, 2013
JINSI YA KUZUIA MATANGAZO KWENYE MOZILLA FIREFOX
9:28 AM
| Imetumwa na
MWAFRIKASILI
|
Watumiaji wengi wa mtandao wamekuwa wahanga wa matangazo mbalimbali(mengine yasiyofaa kwa maadili ),Hii yote inatokana na watu kubofya bofya vitu wasivyo vijua kwenye mtandao(wakiwa online au wakiperuzi)na kujikuta wameruhusu matangazo hayo. Jinsi ya kuzuia ufuatiliaji katika mtandao kuna Mozilla Firefox Add-ons inaitwa DoNotTrackMe: Bofya Hapa
Malizia kwa kubofya Add to Firefox kisha funga Mozilla Firefox na uianzishe upya.
Tuesday, April 23, 2013
CHOMA NA KUREKODI CD/DVD KWA KUTUMIA INFRARECORDER
9:33 AM
| Imetumwa na
MWAFRIKASILI
|
Watu wengi wamezoea au tumezoea kuchoma cd/dvd kwa kutumia nero na programu nyingine ambazo zinauzwa. InfraRecoder ni programu ya bure ya kuchoma na kurekodi CD/DVD. Shusha Hapa .
Sunday, March 31, 2013
Kompyuta yako kuchelewa kuwaka
5:46 AM
| Imetumwa na
MWAFRIKASILI
|
Kama kompyuta inachukua muda mrefu kuwa ni kutokana na sababu hizi zifuatazo:
1. Huenda imevamiwa na virusi ambavyo vinasababisha compyuta yako kuchelewa kuwaka.
2.
1. Huenda imevamiwa na virusi ambavyo vinasababisha compyuta yako kuchelewa kuwaka.
2.
Kufunga USB port kwenye Kompyuta yako
5:46 AM
| Imetumwa na
MWAFRIKASILI
|
Watu wengi wamekuwa wakiibiwa nyaraka zao au majalada yao muhimu bila wao kujua.
Jinsi ya kuisimika na kuitumia Apache Open Office 3
5:46 AM
| Imetumwa na
MWAFRIKASILI
|
Apache Open Office ni programu ya bure kabisa unachotakwia ni kuwa na mntandao na kuishusha. Open Office(Text Document) haina tofauti na macrosoft word. Tofauti yake ni kwamba ms word inauzwa na Open Office ni bure. Kabla sijaendelea jinsi kuisimika unaweza kuishuka hapa apeche openoffice3 .

Created with Artisteer
Unatatizo la kusahau namba zako za siri?
5:46 AM
| Imetumwa na
MWAFRIKASILI
|
Kama unatatizo la kusahau namba zako za siri iwe za bank, email n.k programu hii ya KeePass Password Safe Shusha hapa ni bure kabisa. Jinsi ya kuisimika
1. Bofya mara mbili KeePass kisha bofya next
2.Chagua Accept the agreement bofya next
3.Weka alama ya vema kwenye Associate KeePass,Creat a desktop icon kisha bofya next
4.
1. Bofya mara mbili KeePass kisha bofya next
2.Chagua Accept the agreement bofya next
3.Weka alama ya vema kwenye Associate KeePass,Creat a desktop icon kisha bofya next
4.
Vitu muhimu katika Apache New Document
5:46 AM
| Imetumwa na
MWAFRIKASILI
|
Kiujumla open Office New Document haina tofauti sana na macrosoft word, kama unajua kutumia macrosoft word basi itakuwa rahisi sana kwako kutumia OpenOffice New Document. Hivyo basi nami naamini kabisa utakuwa unauelewa wa Macrosoft word hivyo naweka mambo muhimu tu, Kama unahitaji mafunzo zaidi ya OpenOffice wasialiana nasi ujipatie Kitabu.
JINSI YA KUWEKA NAMBA KWENYE KURASA (PAGE NUMBER)
1.