TAFUTA

KUHUSU SISI

Karibu Mwafika Asili - Blog ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

Habari Maarufu

Blog mbali mbali

JIUNGE NASI

Jisajilikwenye blog hii
Twitter
Facebook

HAKI MILIKI

© 2013 mwafikasil.blogsport.com

MAWASILIANO

mwafrikasili@gmail.com

Powered by Blogger.
Sunday, March 31, 2013

Kompyuta yako kuchelewa kuwaka

 Kama kompyuta inachukua muda mrefu kuwa  ni kutokana na sababu hizi zifuatazo:
1. Huenda imevamiwa na virusi ambavyo vinasababisha compyuta yako kuchelewa kuwaka.
2.
Kuna plogramu ya kompyuta  ambazo huanza pamoja na window inavyooanza hivyo husababisha kompyuta yako kuwa nzito wakati wa kuwaka, kwasababu inafungua vitu vingi kwa wakati mmoja
    Jinsi ya kuondoa programu sisizo na muhimu ambazo zinafunguka pamoja na window
  • Bofya window  na herufu R ( window +R) kwenya kibodi yako.  Au kama unatumia window 7 , Bofya  Start mwanzo kabisa utaona kibox ambacho ndani yake kimeandikwa" Search program and File" , andika neno hili run angalia mfano hapo chini

  • Ukiisha fungua  RUN andika "msconfig" bofya ok


     
  • Chagua  Startup ondoa alama ya vema kwenye programu unaona hazina umuhimu kufunguka wakati kompyuta yako inawaka.  Angalizo  uwemakini na uondoaji wako wa  vema kwasabubu kuna baadhi ya progromu hususani za window zinahusika wakati wa kuwaka. Angalia mfano huo hapo chini
     





Created with Artisteer

0 Maoni:

Post a Comment