TAFUTA

KUHUSU SISI

Karibu Mwafika Asili - Blog ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

Habari Maarufu

Blog mbali mbali

JIUNGE NASI

Jisajilikwenye blog hii
Twitter
Facebook

HAKI MILIKI

© 2013 mwafikasil.blogsport.com

MAWASILIANO

mwafrikasili@gmail.com

Powered by Blogger.
Thursday, May 9, 2013

JINSI YA KUZUIA MATANGAZO KWENYE MOZILLA FIREFOX

Watumiaji wengi wa mtandao wamekuwa wahanga wa matangazo mbalimbali(mengine yasiyofaa kwa maadili ),Hii yote inatokana na watu kubofya bofya vitu wasivyo vijua kwenye mtandao(wakiwa online au wakiperuzi)na kujikuta wameruhusu matangazo hayo. Jinsi ya kuzuia ufuatiliaji katika mtandao kuna Mozilla Firefox Add-ons inaitwa DoNotTrackMe  Bofya Hapa   

Malizia kwa kubofya Add to Firefox  kisha funga Mozilla Firefox na uianzishe upya.

0 Maoni:

Post a Comment