TAFUTA

KUHUSU SISI

Karibu Mwafika Asili - Blog ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano

Habari Maarufu

Blog mbali mbali

JIUNGE NASI

Jisajilikwenye blog hii
Twitter
Facebook

HAKI MILIKI

© 2013 mwafikasil.blogsport.com

MAWASILIANO

mwafrikasili@gmail.com

Powered by Blogger.
Sunday, March 31, 2013

Unatatizo la kusahau namba zako za siri?

Kama unatatizo la kusahau namba zako za siri iwe za bank, email n.k programu hii ya KeePass Password Safe Shusha hapa   ni bure kabisa.  Jinsi ya kuisimika
1. Bofya mara mbili KeePass kisha bofya next
2.Chagua Accept the agreement bofya next
3.Weka alama ya vema kwenye Associate KeePass,Creat a desktop icon  kisha bofya next
4.
Bofya Install na malizia kwa kuweka vema sehemu zote mbili na kisha bofya finish
5 Chagua Enable or Disable automatic update check
6.Bofya File na chagua New
7. Weka  namba yako ya siri
8. Bofya Add New Entry(inakifunguo na alama ya kijani)

9. Weka title mfano namba ya siri ya benki
10. kwenye user name weka akaunti yako
11. Password weka namba yako ya siri
12.Bofya Ok













Mpaka hapo zoezi limekamilika bofya save

Created with Artisteer

0 Maoni:

Post a Comment