TAFUTA
KUHUSU SISI
Karibu Mwafika Asili - Blog ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Habari Maarufu
-
W atu weng i wamez oea au tumez oea kuchoma cd/dvd kwa kutumia ne ro na programu nyingine ambazo zinauzwa . InfraRecoder ni pro gramu ya b...
-
Apache Open Office ni programu ya bure kabisa unachotakwia ni kuwa na mntandao na kuishusha. Open Office(Text Document) haina tofauti...
-
W a tumiaji wengi wa mtandao wamekuwa wahanga wa ma tangazo mbalimbali ( mengine yasiyofaa kwa maadili ) ,H ii yote ina tokana na watu ku...
-
W atu wengi wamekuwa wakiibiwa nyaraka zao au majalada yao muhimu bila wao kujua.
Blog mbali mbali
HAKI MILIKI
© 2013 mwafikasil.blogsport.com
MAWASILIANO
mwafrikasili@gmail.com
Powered by Blogger.
Thursday, May 9, 2013
JINSI YA KUZUIA MATANGAZO KWENYE MOZILLA FIREFOX
9:28 AM
| Imetumwa na
MWAFRIKASILI
|
Watumiaji wengi wa mtandao wamekuwa wahanga wa matangazo mbalimbali(mengine yasiyofaa kwa maadili ),Hii yote inatokana na watu kubofya bofya vitu wasivyo vijua kwenye mtandao(wakiwa online au wakiperuzi)na kujikuta wameruhusu matangazo hayo. Jinsi ya kuzuia ufuatiliaji katika mtandao kuna Mozilla Firefox Add-ons inaitwa DoNotTrackMe: Bofya Hapa
Malizia kwa kubofya Add to Firefox kisha funga Mozilla Firefox na uianzishe upya.