TAFUTA
KUHUSU SISI
Karibu Mwafika Asili - Blog ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano
Habari Maarufu
-
Kama kompyuta inachukua muda mrefu kuwa ni kutokana na sababu hizi zifuatazo: 1. Huenda imevamiwa na virusi ambavyo vinasababisha compyut...
Blog mbali mbali
HAKI MILIKI
© 2013 mwafikasil.blogsport.com
MAWASILIANO
mwafrikasili@gmail.com
Kufunga USB port kwenye Kompyuta yako
Watu wengi wamekuwa wakiibiwa nyaraka zao au majalada yao muhimu bila wao kujua. Kwamfano mtu amekuomba atumie kompyuta yako iwe ya mpakato(laptop) au ya kawaida(desktop au tower) akikuamua kukuibia nyaraka yoyote kupitia flashi yake hauwezi kujua. Zifuatazo ni hatua za kufunga usb port ambazo zitakusaidia kuzuia jalada au kitu chochote kuingizwa kwenye flash(write potect all usb divices)
- Fungua masijala ya Window kwa kubofya window + r au kama unatumia window 7 bofya start harafu kwenye kisanduku kilichoandikwa (search programs and file) na andika regedit kisha bofya Ok.
-
Bofya HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlSet\Control\StorageDevicePolicie

Sasa Bofya WriteProtect na badilisha 0 ya mwisho weka namba 1 kama mfano wa picha niliyokuwekea hapo juu.
Zoezi limekamilika sasa funga na jaribu kuweka au kufuta kitu chochote kwenye flashi yako utaona ujumbe huu
“ The disk is write- proctected”.
0 Maoni:
Post a Comment